Ee Mungu Nguvu Yetu
Ee Mungu Nguvu Yetu (Oh God of All Creation; Chineke nke Okike) je orin-ìyìn orílẹ̀-èdè mba Kenya.
Orin-ìyìn National | Kenya |
---|
Swahili Lyrics
àtúnṣeEe Mungu nguvu yetu
Ilete baraka kwetu
Haki iwe ngao na mlinzi
Natukae na undugu
Amani na uhuru
Raha tupate na ustawi.
Amkeni ndugu zetu
Tufanye sote bidii
Nasi tujitoe kwa nguvu
Nchi yetu ya Kenya
Tunayoipenda
Tuwe tayari kuilinda.
Natujenge taifa letu
Ee, ndio wajibu wetu
Kenya istahili heshima
Tuungane mikono
Pamoja kazini
Kila siku tuwe na shukrani.
English Lyrics
àtúnṣeO God of all creation,
Bless this our land and nation.
Justice be our shield and defender,
May we dwell in unity,
Peace and liberty.
Plenty be found within our borders.
Let one and all arise
With hearts both strong and true.
Service be our earnest endeavour,
And our Homeland of Kenya,
Heritage of splendour,
Firm may we stand to defend.
Let all with one accord
In common bond united,
Build this our nation together,
And the glory of Kenya,
The fruit of our labour
Fill every heart with thanksgiving.
Igbo
àtúnṣeChineke nke Okike
Gozie ala anyi na obodo anyi
External links
àtúnṣeỌgụgụ ọzọ
àtúnṣe- http://www.statehousekenya.go.ke/anthem.htm Archived 2011-03-03 at the Wayback Machine.